Sunday, February 5, 2012

SHEREHA ZA MIAKA 35 YA CCM ZAFANA MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amebeba mtoto wa moja kati ya wananchi waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya kuzaliwa chama cha mapinduzi kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Sanaa imekolea kizazi kipya.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Anna Makinda hakuona hasara kujumuika kusakata magoma.
Mzuka wa wakereketwa.
JK akisalimia vikundi mbalimbali vya sungusungu.
Watu weweeeee!! Hapa lilidondoshwa twarab' la TOT.
Moja ya vikundi vya jeshi la sungusungu mkoa wa Mwanza.
Aho lulu'
M-blogishaji maarufu Issa Michuzi akishow love mbele ya kamera ya blog hii.
Ma-blogger Muhksin Mambo wa The big top ten (L) na Albert Sengo wa
G Sengo blog (R).

Kaubunifu vazi la juani.
Wasanii toka kundi la sanaa ya uchekeshaji luningani BABATAN la chanel 10 ndani ya dimba.
Msafara wa waendesha pikipiki.
Gwaride la Green Guard.
Gwaride la Green Guard dadaz'.

Kutoka mbali 'rigwaride'.
Maadhari toka nje ya dimba la CCM Kirumba leo.