Kituo cha Utafiti wa Samaki Tanzania kituo cha Mwanza bado kinakabiliwa na changamoto ya upungufu wa vitendea kwa baadhi ya boti zake hazijakarabatiwa kwa muda mrefu na moja kati ya boti za utafiti imekufa injini yake ikihitaji kufufuliwa pamoja na changamoto ya bejeti finyu ya kuendeshea mradi. Mfano kwa mwaka jana Idara ya Uvuvi mkoa wa Mwanza iliiingizia serikali kiasi cha shilingi bilioni 3 lakini bajeti iliyopata haikuzidi shilingi milioni 12. |
No comments:
Post a Comment