Katika kuwatia moyo na kuhakikisha watoto hawa wanaishi japo katika halistahiki mbunge wa Busega Dr. Kamani alidhuru kituo cha Hope sisters kilichopo jimboni kwake kwa ajili ya kutoa misaada mbalimbali na kujionea changamoto mbalimbali zilizopo kituoni hapo.
Mh mbunge alishiriki hata kwenye michezo yao na simulizi za utii.
Watoto hawa hucheza kama watoto wengine hasa pale wanapopatiwa huduma muhimu pichani wakiwa na Sister mlezi wa kituo cha Sisters of Hope anayewakarimu kama mama wa watoo hawa kweli inatia moyo.Ni watoto wasikivu wenye utii, wanaopendana hapa walikuwa wakisikiliza neno toka kwa mlezi wao mh. mbunge aliye watembelea .
No comments:
Post a Comment